Kuhusu NaraVibe

Karibu NaraVibe! Tunafuraha kukupokea kwenye jumuiya yetu.

NaraVibe ni mfumo unaowasaidia Watanzania na watu wengine wanaozungumza Kiswahili kuchati na wazungu na watu kutoka nje ya nchi kuhusu mada mbalimbali.

Lengo letu ni kuwawezesha wageni hao kujifunza Kiswahili vizuri kupitia mazungumzo ya kweli na wewe, huku wewe ukipata fedha kwa muda unaotumia kuchati.

Kuchati, kufundisha, na kujifunza kuhusu tamaduni tofauti — hii ndiyo dhana kuu ya NaraVibe: Share your countrie's vibe.

Kwa maelezo zaidi na kuanza kupata fedha, jisajili sasa. Ukibonyeza "Rudi Nyumbani" utarejeshwa kwenye dashboard kuu.